Ijumaa, 28 Aprili 2017

VIDEO: TIZAMA JINSI BMW GARI YA KISASA ILIVYO TENGENEZWA.

BMW ni kifupi cha Bavarian Motor Works, na hawakuishia hapo tu kwa kuwa BMW ila wakaanza kuzalisha bidhaa zao zilizo jikita katika vyombo vya moto, kama vile gari, pikipiki na vingine vingi. Sasa nataka utazame ili ujifunze jinsi BMW gari ya kisasa ilivyo tengenezwa ili nawe uweze kuwa na ndoto za kufanya makubwa kuliko waliyo yafanya katika utengenezaji wa gari hii ya BMW.
                                                                                    BOFYA HAPA KUTIZAMA

FAIDA ZA KIONYESHA SPIDI NDANI YA GARI.

Utakubaliana na mimi kuwa ili uamini lazima uone, hapa ndipo inapokulazima kuwa na kionyesha spidi ndani ya gari lako ili uweze kuona spidi pindiuendeshapo gari lako. Zifuatazo ni faida za kionyesha spedi ndani ya gari lako zitakazo kufanya usiwe na wasiwasi uwapo balabalani wewe na gari lako.

1. Kinakuonyesha spedi ya kari kwa wakati huo.
2. Kinakufanya ujiamini uwapo ndani ya gari
    lako.
3. Kinakuepusha na makosa ya kuzidisha spidi 
    uwapo balabalani.
4. Kina kuepusha na ajari mbaya uendeshapo
    gari lako.

Jumatano, 26 Aprili 2017

HIZI NDIZO SPANA TATU MUHIMU ZAIDI KATI YA ZOTE.

Hizi ni tatu zenye nguvu zinazoweza kufungua gari lako lote bila msaada wa spana nyingine, kufungua gari pia kuna hitaji uwe na  elimu ya mambo ya ufundi wa  magari. Itakulazimu kuzijua sheria zote za ufunguaji na ufunga wa nati zote zinazo unganisha shemu moja na nyingine ya gari lako. Pia umakini pindi ufanyapo kazi hiyo ya ufunguaji, maana kuna nati zingine huwezi kuzifungua bila kutumia nguvu nyingi na umakini mkubwa.

JE, WAJUA VILAINISHI VIZURI VYA GARI HULIFANYA GARI KUWA JIPYA NA IMARA TENA..?

Kitendo cha kuweka vilainishi vizuri ndaini ya gari lako, hulifanya gari lako kuwa bora na imara zaidi pia hukupa kujiamini popote pale uwapo na gari lako. Ni ukweli kwamba gari limetengenezwa kwa mfumo wa msuguwano ndo linakwenda, sasa kama sehemu za gari zinazofanya msuguano huo zikikosa vilainishi au kulainishwa kwa muda mrefu lazima vitakua vibovu na vitakulazimu kuvibadilisha na kitendo cha kuvibadilisha itakuweka kwenye gharma ambayo hukuitegemea. Usiache kujifunze vitu vingi na vipya kuhusu magari mbalimbali kila siku kupitia blog yetu ya Transport and Car Parkig. 

VIDEO: ZIJUE SHERIA TATU MUHIMU ZA KUPAKI GARI LAKO.

Kama inavyo fahamika duniani kote kuwa kutojua sheria ni kosa kisheria, ila hapa Transport and Car Parking tunakupa kuzijua sheria ambazo zitakuepusha kujikuta uko katika mikono ya sheria. Transport and car Parking hatuishii hapo tu, ila tumekuandalia video ambayo inakufundisha sheria hizo.
BOFYA HAPA UONE NA UJIFUNZE

Jumanne, 25 Aprili 2017

VIDEO: JIFUNZE JINSI YA KUIFANYIA SEVISI INJINI YA GARI.

Kufahamu kitu sio mpaka uwekwe darasani kwa muda flani chini ya uangalizi wa mtu mwenye utalamu wa jambo hilo ambaye anatenga muda wake kwa ajili ya kukuelekeza jambo hilo ndiyo upate ujuzi, wa kutosha juu ya jambo hilo. Hapa Transport and Car Parking tunakupa kujifunza mwenyewe kwa muda wako ukiwa umetulia. BOFYA HAPA UJIFUNZE UPATE UJUZI. Endelea kujifunza upate kuju usiyo yajua, tembelea kila siku katika blog yetu uongeze maarifa na uwe mtu unaejua vitu vingi zaidi kuhusu magari.

Jumatatu, 24 Aprili 2017

ZIJUE KAMPUNI ZINAZO ONGOZA KWA UZALISHAJI WA MATAIRI YA GARI KWA WINGI, UBORA NA VIWANGO VIZURI DUNIANI.



Kampuni nyingi sana huwa zinazalisha mataili ya magari mbalimbali ambayo yanakuwa na ubora unaotafautiana kutoka kampuni moja kwenda nyingine. Hapa nimekupa kiuchache kampuni bora na zinazozalisha taili nyingi na kwa ubora wa hali ya juu. GUSA HAPA KUZIJUA  KIUNDANI ZAIDI KAMPUNI HIZO. Usichoke kututembelea hapa kwenye blog yetu tukupe talifa mpya kuhusu magari mbalimbali duniani kote.

ZIJUE BEI ZA MAGARI YOTE MAZURI DUNIANI KOTE.

Kujua bei ya kitu inakufanya uwe na uhakika wa kukipata kwa muda unaotaka bila kuwa na wasiwasi juu ya ubora na gharama ya hicho unacho kitaka kwa wakati huo. Transport and Car Parking tunakupa ujuzi wa kufahamu bei ya gari mbalimbali duniani kote hapo ulipo. Kuwa na uhakika wa gari au kifaa chochote cha gari inabidi ufahamu kwanza dhamani yake. GUSA HAPA UZIJUE BEI ZA MAGARI YOTE MAZURI DUNIANI KOTE. Karibu uendelee kufulahia huduma zetu ndani na nje ya blogger yetu.