Kitendo cha kuweka vilainishi vizuri ndaini ya gari lako, hulifanya gari lako kuwa bora na imara zaidi pia hukupa kujiamini popote pale uwapo na gari lako. Ni ukweli kwamba gari limetengenezwa kwa mfumo wa msuguwano ndo linakwenda, sasa kama sehemu za gari zinazofanya msuguano huo zikikosa vilainishi au kulainishwa kwa muda mrefu lazima vitakua vibovu na vitakulazimu kuvibadilisha na kitendo cha kuvibadilisha itakuweka kwenye gharma ambayo hukuitegemea. Usiache kujifunze vitu vingi na vipya kuhusu magari mbalimbali kila siku kupitia blog yetu ya Transport and Car Parkig.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni