Hizi ni tatu zenye nguvu zinazoweza kufungua gari lako lote bila msaada wa spana nyingine, kufungua gari pia kuna hitaji uwe na elimu ya mambo ya ufundi wa magari. Itakulazimu kuzijua sheria zote za ufunguaji na ufunga wa nati zote zinazo unganisha shemu moja na nyingine ya gari lako. Pia umakini pindi ufanyapo kazi hiyo ya ufunguaji, maana kuna nati zingine huwezi kuzifungua bila kutumia nguvu nyingi na umakini mkubwa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni