Jumatatu, 24 Aprili 2017

HUDUMA ZA KIJAMII NDANI YA TRANSPORT AND CAR PARKING.

Ufikapo katika sehemu yetu (Transport and Car Parking) unaouwezo wa kujipatia huduma mbalimbali za kijamii kupitia duka letu tulilolifungua kwa ajili yako na kwa ajili ya kila unacho kihitaji kwa ajili ya familia yako. Ndani ya duka letu utajipatia mchele, sukari, unga wa sembe na ngano, vinywaji baridi n.k, tunao wahudumu wazuri na wenye utalam wa hali ya juu watakao kuhudumia kwa kukujali na kukusikiliza kwa umakini. Karibu Transport and Car Parking tukuhudumie na ufuhie huduma zetu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni