Tunajishughulisha pia na uhifadhi wa vyombo vya moto yakiwemo magari na pikipiki. Hatu ishii hapo tu, ila tunakupa usalama wa kutosha wa chombo chako ( gari au pikipiki ) maana tuna walinzi wazuri wanaojua thamani ya chombo chako. Ishi bila wasiwasi kwa kupaki gari lako katika paking zetu zilizopo KINYEREZI eneo linalo itwa GEREJI, tupo hapo karibu kabisa na balabala kuu inayotoka stendi ya kinyerezi na kwenda mjini. Kalibu na ufurahie paking nzuri yenye usalama wa kutosha wa mali zako ndani na nje ya chombo chako cha usafiri.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni