![]() |
Kukupa huduma nzuri ni jukumu letu la msingi sana na inatulazimu kufanya hivyo, Safiri nasi tukutoe sehemu moja kwenda nyingine ukiwa ndani ya dar es salaam. Safiri bila wasiwasi ukiwa ndani ya gari zetu, hatukusafirishi tu, ila usala wa wewe na ulicho nacho ndani ya gari letu. Magari yetu ni bora na mazuri ndani na nje pia madereva wetu wanaelimu za usalama wa balabalani na pia wanauwezo wa hali ya juu ya uendeshaji wa gari. Karibu tukuhudumie ufurahie kusafiri nasi ndani ya Dar es salaam, Tanzania.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni